JE! UNAYAJUA ALIYO YA AHIDI MAKUFULI PANGANI??!!!!!!!!
1.Ataweka daraja katika MTO PANGANI
2.Barabara kwa kiwango cha lami TANGA mpaka BAGAMOYO ambayo kwa sasa ni barabara ya kifusi
3.Kuboresha huduma za afya-MADAWA-ZAHANATI.
4.Kujenga ukingo katika mto pangani,na katika kingo za ufukwe wa PANGADEKO,ambao kwa sasa unaliwa kwa kiasi kikubwa.
Post A Comment
Hakuna maoni :