Shambulio latibuka Kenya
Shambulio hilo limefanyika
karibu na Mpeketoni, ambapo wanamgambo wa Al Shabaab waliwauwa watu
wapatao sitini na nane mwaka jana.

Inasemekana kuwa washambuliaji walijaribu kulenga mabasi hayo kwa guruneti.
Maafisa wa usalama waliokuwepo walifyetua risasi kisha mabasi yaligeuza mwendo kurudi yalikotoka.
http://www.bbc.com/swahili/habari/2015/07/150708_lamu_attack?ocid=socialflow_facebook
Post A Comment
Hakuna maoni :