technology

Manchester United wanakaribia kuipata saini ya beki wa Torino Matteo Darmian

Darmian puts in a tackle while on international duty with Italy in June; United are closing in on his signature
Manchester United  wako katika hatua ya mwisho katika kumnasa beki wa torino ya italia Matteo Darmian baada ya majadiliano  na klabu ya  Torino kufikia hatua ya juu.
United wanahitaji mchezaji ambaye anaweza kucheza nafasi ya nyuma  baada ya meneja Louis van Gaal kuamua kuachana na Mbrazil Rafael ambaye ameonekana hayuko vizuri.
Darmian mwenye umri wa miaka 25 ambapo anamatumaini makubwa ya kujiunga na mashetani wekundu wa jiji la uingereza baada ya kufikia hatua nzuri ya mazungumzo na Torino kwa kitita cha  £ 11million. 



Matteo Darmian (right) scores past Juventus goalkeeper Gianluigi Buffon while playing for Torino in April(chanzo Daily mail.co.uk)

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :