Nani atakaye mrithi Kikwete katika CCM?
Pamoja na mkutano huo
kupitisha ilani ya uchaguzi ya chama hicho kwa mwaka 2015/2020, pia
utateua mgombea wake wa urais kwa upande wa Tanzania bara na Zanzibar.

Watanzanania wanasubiri kusikia nani kati ya wanachama 38 walio elezea nia yao, atachaguliwa kushikili abendera ya chama hicho wakati wa Uchaguzi baadaye mwaka huu.
Mbali na idadi hiyo, pia wadadisi wanasema kuwa uelewa na ushiriki wa raia katika kuchangia hja katiika siasa za nchi hiyo pia umeongezeka mara dufu.
http://www.bbc.com/swahili/habari/2015/07/150708_ccm_tz
Post A Comment
Hakuna maoni :