
Wakati vikao vya juu vya CCM vya kuchuja
wagombea urais vikianza leo,
hofu na wasiwasi umezidi kutanda miongoni mwa wagombea, viongozi na
wanachama wa chama hicho kuhusu namna ya kuikabili minyukano baina ya
wagombea hao na kibarua cha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
...http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/2779210/-/risrrgz/-/index.html
Post A Comment
Hakuna maoni :