technology

Pembe za ndovu:Raia wa Uchina wakamatwa TZ


Image captionUwindaji haramu
Jopo maalum la wanyama pori nchini Tanzania limewakamata baadhi ya raia wa Uchina wanaoushukiwa kusafirisha pembe za ndovu.
Makundi ya kampeni dhidi ya uwindaji haramu yanasema kuwa wale waliokamatwa ni pamoja na mwanamke aliyepewa jina la utani 'Malkia wa pembe za ndovu' {Yang Feng Glan}.
Wahifadhi wameitaja Tanzania kama shina la uwindaji haramu wa pembe za ndovu ,na kuongezea kuwa ndovu 8,500 waliuawa katika kipindi cha miaka mitano iliopita.
chanzo-bbcswahili.com
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :