Jurgen Klopp anaamini Liverpool 'itakuwa vizuri na kushinda taji' katika kipindi cha miaka minne ijayo na anaelezea mwenyewe kama yeye ni mtu wa 'Kawaida tu'
kocha mpya wa liverpool anaamini kuwa clabu yake mpya kwa sasa itafanya vizuri katika ligi ya uingereza na kurudi katika jina lake ambalo mwanzo ilikua ikufuma kwa ubora.
lakini klopp amesema katika kikoa maalumu cha waandishi wa habari kuwa liverpool itakaa sawa na kubadilisha kuwa bora kwa miaka minne ijayo.
"kama nitakaa hapa liverpool kwa miaka mnne basi liverpool itakuwa vizuri" alisema klopp.
Na katika kikao hicho cha waandishi wa habari, mmoja wa waandishi wa habari alimuuliza kloop ya kwamba kocha wa Chelsea Jose Mourinho alipo ulizwa ajielezee akasema yeye ni' special one' lakini klopp kwa nafasi yake aliwajibu waandishi wa habari ya kuwa yeye ni 'Normal one'.
Labels
MICHEZO
Post A Comment
Hakuna maoni :