technology

Albino waliokatwa mikono TZ wapata msaada

'Uovu ambao umeliaibisha taifa'.
Image captionPendo, ambaye ana miaka 15 alishambuliwa mwezi Agosti
Hivyo ndivyo rais wa Tanzania Jakaya mrisho Kikwete ameelezea mauaji ya albino wapatao 80 tangu mwaka 2000 nchini Tanzania.
Image captionBaraka ambaye anafikisha miaka sita baadaye mwezi huu alishambuliwa mnamo mwezi Machi.
Wengine wengi wamekatwa viungo mbalimbali vya mwili kwa kuwa wengi wanaamini kwamba viungo vyao vinaleta bahati nzuri.
Image captionEmmanuel, mwenye umri wa miaka 13, anaweza kutumia mkono wake mpya kufanya kazi za kawaida
Lakini kundi moja la watoto waliopoteza mikono katika shambulizi wamepewa fursa mpya.
Image captionMkono wake wa bandia sasa unamsaidia kupika
Walisafiri hadi nchini Marekani ili kuwekewa mikono bandia.Wanne kati ya watano sasa wamerudi nchini Tanzania.
chanzo-bbcswahili.com
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :