technology

PATA HII!!!!! Mixtape ya Future & Drake imekupita? ‘What A Time To Be Alive’


Ni siku tatu tu zimepita toka Drake awape mashabiki wake news kwamba Future na yeye wanaachia Mixtape pamoja… Na tarehe 20 September Drake aliandika kwenye page yake ya Instagram muda na saa ambapo mixtape hiyo itakuwa sokoni.
futch4
Future na Drake wakiwa studio.
Good news kwako mtu wangu, kama wewe ni shabiki mkubwa wa Future na Drake basi hii taarifa ikufikie, Mixtape ya wasanii hawa wawili tayari imetoka ikiwa na nyimbo 11 chache zikiwa; Live from the Gutta, Plastic Bag, Digital Dash, I’m the Plug na Change Locations.
futch3
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :