technology

Mtoto mwengine amekufa maji Uturuki

Ripoti kutoka Uturuki, zinasena kuwa mwili wa mtoto wa kike wa miaka minne kutoka Syria, umepatikana pwani kando ya bahari ya Aegean.
Shirika la habari rasmi la Uturuki, limearifu kuwa mashua iliyobeba wakimbizi, ilizama ilipokuwa ikijaribu kufika kisiwa kimoja cha Ugiriki.
Image copyright Reuters
Image caption Wasyria wengi wamekufa maji wakijaribu kutafuta maisha mapya Ulaya
Wa Syria 14 wengi wao watoto - wali-okolewa.
Majuma mawili yaliyopita, picha za mtoto mdogo kutoka Syria, aliyezama Uturuki, zilishutua ulimwengu, kuhusu mashaka yanayowakuta wakimbizi wanaojaribu kufika Ulaya.
 chanzo-bbcswahili.com
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :