‘Rajesh’ wa Isidingo aweka rekodi Mlima Kilimanjaro
Rajesh, ambaye ni raia wa Afrika Kusini, pamoja na wenzake 36 walipanda mlima huo kuanzia Julai 14, kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Hayati Nelson Mandela wa Afrika Kusini.
(chanzo mwananchi newspaper)
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/2798408/-/rhlcqqz/-/index.html
Post A Comment
Hakuna maoni :