Nigeria:Taarifa ya kwamba kuna mgahawa unauza nyama za watu sio kweli !
Idhaa ya kiswahili ya BBC
imethibitisha kuwa taarifa tuliyochapisha kwamba kuna mgahawa mmoja
nchini Nigeria unaouza nyama ya binadamu sio za kweli.
Tunaomba radhi kwa taharuki au hisia zozote zilizosababishwa na tawww.facebook/matatachede.comarifa hiyo.

Post A Comment
Hakuna maoni :