technology

Cristiano Ronaldo yuko tayari kurudi Manchester United - hata kama amepata offer kutoka PSG

Cristiano Ronaldo celebrates after scoringkocha wa Man United Louis van Gaal amebaini mwishoni mwa wiki iliyopita kwamba anamtaka nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo.

Ingawaje nyota huyo anakimbiziwa na klabu bora zaidi huko nchini UFARANSA   Paris Saint-Germain  na tayari matajiri wa Paris Saint-Germain wameweka wazi kwamba wao wako tayari kulipa chochote  ikiwa ni pamoja na mshahara wa £ 500,000 kwa wiki.

lakini Ronaldo anapenda sana kutua United na kucheza Ligi Kuu ya Uingereza.


Hatahivyo   makamu mwenyekiti  wa United Ed Woodward ambaye ana uhusiano mzuri na wakala Jorge Mendes na anajua kwamba kumrejesha Ronaldo itakuwa kama soka sawa na kushinda bahati nasibu katika suala kibiashara.


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :