technology

STARZ KAZI IPO KESHO,Muongoza filamu ya straight outta Compton F.Gary Gray sasa kuongoza Filamu ya FURIOUS 8

Kocha mkuu wa timu ya TAIFA ya TANZANIA taifa stars charles mkwasa amesema kikosi chake kipo tayari kwa game ya kesho dhidi ya malawi katika kuwania kufuzu kombe la dunia mwaka 2018.

Mkwasa ameongeza kuwa kikosi chake kipo tayari kutokana na maandalizi waliyo yafanya ikiwemo kufanya mazoezi,na vilevile wachezaji wote wapo vizuri,akiwemo mbwana samata na thomas ulimwengu.


#####HABARI######MICHEZO######HABARI######MICHEZO#######
Muongoza filamu ya straight outta compton sasa ataiongoza filamu ya furious 8,na hiyo imekuja baada ya Muongoza filamu hiyo VIN DIESEL kupost kwenye ukurasa wake wa facebook picha
yakena mshkaji huyo.12003982_10153772160328313_6221525636336815677_nF-Gary-Gray-Gaming-Cypher

hata hivyo mtandao wa HEADLINE .COM umeripoti kuwa wawili hao walifanya mkutano na kufanya makubaliano hayo.
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :