unadhani tatizo la muungano ni TZ peke yake? pata hii!!!! Je Catalonia itajitenga na Uhispania ?

Watu wa eneo la
Catalonia nchini Uhispania wameanza kupiga kura katika uchaguzi
uunaotazamwa kuwa mtihani mkubwa wa kuunga mkono Uhuru wa eneo hilo
tajiri.
Zaidi ya watu milioni tano wamejiandikisha kupiga kura .Wanachama wa vyama vya Catalan, wanaotaka kujitenga na ambao wanaongoza katika kura ya maoni wanasema kuwa ushindi utavipa vyama vyao uwezo wa kutangaza

Serikali ya Uhispania ambayo inakataa kata kata kukubalia shughuli hizo za upigaji wa kura ya maoni kuhusiana na swala hilo imetaja kura hiyo ya maoni kama upuzi

Uchaguzi huo unaonekana kama swala muhimu katika historia ya hivi punde ya Uhispania.
chanzo-bbcswahili.com
Post A Comment
Hakuna maoni :