JE!! WAJUA !!!!!!!Kituo cha Sound City Nigeria kimesitisha kucheza kazi za P Square,sababu iko hapa,beef ?. P-square
Jambo hili limefanyika toka mwaka 2014 na kwa mujibu wa Sound City ” P Square waliombwa wafanye show na kituo hicho ila walishindwa kukubaliana malipo ” Sound City imesema meneja wa P Square alijibu vibaya sana alivyombwa kupunguza bei, jibu lake lilikuwa “Kwani Sound City imesaida nini P Square, tuambie kitu kimoja tu”.
Sound City imecheza na kutoa ushirikiano kwa P Square kwa miaka kumi na jibu hilo lilichukuliwa kama dharau kwao na ndio wakasimamisha kucheza video za P Square.
P Square wamewaambia mashabiki wao waache kuifuatilia channel hio.
Labels
burudani
Post A Comment
Hakuna maoni :