Hali mbaya mabadiliko ya tabia nchi yaiweka mashakani wilaya ya PANGANI
Hali hiyo imesababisha mawambi makubwa katika bahari ya hindi,na kusababisha fukwe za pangadeko zilizopo katika wilaya ya PANGANI kumegwa kwa kiasi kikubwa na maji.
Hali hiyo pia imesababisha watu kutumia maji ya chumvi kutokana na visima vingi vinavyo tumiwa na wakazi wa WILAYA hiyo kuchanganyikana na maji ya bahari.
Post A Comment
Hakuna maoni :