
Mbrazil huyo amesajiliwa kwa kitita cha dau la paundi £ 29million kutoka Hoffenheim kwenda Anfield, Liverpool kwa mkataba wa kuichezea kwa miaka mitatu .
Roberto Firmino amefunga mabao 47 katika mechi 151 katika Ujerumani hiyo inaonyesha mchezaji huyo anauwezo mkubwa anhttp://www.mirror.co.uk/sport/football/news/roberto-firmino-excited-liverpool-challenge-6018508apokua dimbani.
Post A Comment
Hakuna maoni :