Meli moja iliyobeba wahamiaji haramu yazama bahari ya Aegean
Meli moja iliyobeba wahamiaji haramu imezama kwenye bahari ya Aegean karibu na visiwa vya Chios, na kazi ya uokoaji inaendelea.
Abiria 16 kati ya 33 waliokuwa ndani ya meli hiyo wamenusurika.
Uraia wa watu hao na nchi wanazotoka bado havijajulikana.
(chanzo CRL CHINA IDHAA YA KISWAHILI )
Abiria 16 kati ya 33 waliokuwa ndani ya meli hiyo wamenusurika.
Uraia wa watu hao na nchi wanazotoka bado havijajulikana.
(chanzo CRL CHINA IDHAA YA KISWAHILI )
Post A Comment
Hakuna maoni :