Manchester United bado wanaendeleza sagura sagura ya usajili na sasa wanataka saini ya mchezaji wa Southampton Morgan Schneiderlin.

United wanadhaniwa kuwa kuwasilisha kitita cha £ 20million kwa ajili ya Schneiderlin
Bosi wa mashetani wekundu Louis van Gaal anataka kumchukua Schneiderlin kutua United kabla ya msimu wa ziara ya Marekani.
chanzo (dailymail.co.uk)http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3154042/Manchester-United-head-Southampton-Morgan-Schneiderlin-deal-pre-season-tour.html
Post A Comment
Hakuna maoni :