Man city yachabangwa 4-1 na Real Madrid International Champions Cup friendly:

mbele ya mashabiki 100,000 man city waliweza kupoteza katika mchezo huo huku mchezaji Yaya Toure akikiri kuwa wana upungufu mkubwa katika timu yao na ndio mana walipoteza katika mchezo huo.
Final: Manchester City 1 - 4 Real Madrid (Yaya Touré 45+4 (P) / Benzema 21', Cristiano 25', Pepe 44, Cheryshev 73')

(chanzo daily mail.co.uk)
Post A Comment
Hakuna maoni :