technology

MAJAMBAZI WAUA MFARANSA NA KUPORA FEDHA



Image result for ufaransa benderaWatu NNE wanaoshukiwa kuwa ni majambazi wamehusika na mauaji ya raia wa UFARANSA SEBASTIAN LEHEMISIA nakumjeruhi REHEMIA  LIONI ambaye pia ni raia wa UFARANSA na kupora fedha taslimu shilling bilioni moja na yuro elfu moja.

Akitoa tarifa hiyo kamanda wa polisi mkoa wa tanga Zuberi Muumbenji amesema watu hao pia walifanikiwa kuondoka na gari la wafaransa hao lenye namba za usajili T882AYT.
Hata hivyo tayari watu watano wameshakamatwa kutokana na tukio hilo kwa niamba ya uchunguzi zaidi na gari lililo tekwa lilikutwa limetelekezwa barabara ya  miono kuelekea  Bagamoyo.


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :