HII NI TAHADHARI KWA WAKAZI WA PANGANI NA UKANDA WA BAHARI YA HINDI KWA UJUMLA.
Akizungumza na Pangani
fm Katibu tawala wilayani Ndugu PETER
MABUGA amesema wamepokea taarifa kutoka
mkoani juu ya kuwepo kwa mabomu
katika pwani ya bahari ya hindi.
Aidha Bwana MABUGA amewataka wamiliki wa vyombo vya usafiri wilayani pangani kuchukua tahadhari ya kukagua
mizigo kwa abiria ili kutambua baadhi ya
abiria waliobeba miripuko.
Hata hivyo ndugu
…..ametoa maelekezo kwa vingozi wa kata na vijiji na kamati za ulinzi na
usalama kukaa vikao ili kuchuka tahadhari juu ya taarifa hii.
Post A Comment
Hakuna maoni :