technology

Bunge la Rwanda launga mkono mageuzi ya kikatiba

Raia wamefurika kwa wingi, Jumanne, Julai 14, ili kufuata mijadala na kuunga mkono maseneta na wabunge katika kupiga kura juu ya mageuzi ya Katiba.Nchini Rwanda, kwa kuzingatia mapendekezo ya raia, Jumanne wiki hii Bunge limetangaza kuunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yangeweza kuruhusu rais Paul Kagame kuwania muhula wa tatu wa urais mwaka 2017.

http://www.kiswahili.rfi.fr/afrika/20150715-bunge-la-rwanda-launga-mkono-mageuzi-ya-kikatiba 

 

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :