technology

Kadi nyekundu kwa Sepp Blatter?

Zürich UEFA Pressekonferenz Michel Platini Korruptionsskandal Rais wa Shirikisho la kandanda la Ulaya – UEFA, Michel Platini amemtaka Rais wa FIFA, Sepp Blatter kujiuzulu kwa sababu ya kashfa za ufisadi zinazolikumba kandanda la kimataifa.

Platini ameyataka mataifa wanachama wa FIFA kumuunga mkono Mwanamfalme wa Jordan Ali bin al Hussein katika uchaguzi wa kesho ambapo Blatter anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa muhula wa tano.
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :