HATIMAYE DR.KIZA BESIGYE AMEKWENDA KUINDHINISHWA KUINGIA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUGOMBEA URAISI -UGANDA
Hata hivyo mgombea huyo wa chama cha FDC angali analalamikia hali ya tume ya uchaguzi kutokuwa na uwezo wa kuendesha uchaguzi kwa njia huru na haki.
Hii ikiwa siku ya pili na ya mwisho ya shughuli hiyo, wagombea wanane akiwemo mwanamke mmoja wameidhinishwa na tume ya uchaguzi nchini humo kushiriki katika kinyang’anyiro hicho.
Labels
UCHAGUZI-UGANDA
Post A Comment
Hakuna maoni :