technology

HOFU YA WAYNE ROONEY KUIKOSA MICHUONO YA KUFUZU KOMBE EUro 2016 YATANDA

Mshambuliaji wa Man united na timu ya taifa ya uingereza wayne rooney anahofiwa huenda akaikosa michuano ya kufuzu kombe la EURO 2016 ,kutokana na majaraha aliyo yapata katika mechi kati ya Man united vs Arsenal ambapo man united walichabangwa 3 bila majibu.

kwahiyo Rooney anaweza kuikosa kuikosa mechi kati ya England vs Estonia itakayo chezwa siku ya ijumaa na ile watakayo cheza na Lithuani siku tatu baada ya kucheza na Estonia.

Rooney alipata majeraha ya enka katika mechi yao na Arsenal.
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :