technology

USIKOSE KUJUA hiiii!!!!!Vikosi vya Syria, Hizbullah vyasonga mbele Zabadani

Vikosi vya Syria, Hizbullah vyasonga mbele ZabadaniVikosi vya jeshi la Syria vikiungwa mkono na harakati ya Muqawama ya Lebanon Hizbullah vimewazingira magaidi katika mji wa kistratejia wa Zabadani kusini magharibi mwa Syria. Habari zinasema kuwa vikosi vya Syria na vile vya harakati ya Muqawama ya Lebanon vimesonga mbele katika mji huo na kuudhibiti msikiti wa al Jasr na majengo mengine yaliyo karibu. Magaidi kadhaa wameuawa katika mapambano kati yao na vikosi vya Syria na wanamuqawama wa Lebanon, na kufanikiwa kuangamiza mada za miripuko zilizokuwa zimetegwa na magaidi ndani ya msikiti wa al Jisr. Mji wa kistratejia wa Zabadani unaopatikana katika mkoa wa Rif Dimashq umekuwa ukitumiwa kama ngome ya makundi ya kigaidi.

chanzo-tehran radio
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :