Jose Mourinho awajia juu waandishi wa habari, awaambia waandishi "kuacha kuuliza maswali ya kijinga"
Mourinho amekuwa chini ya moto baada ya kuanza vibaya kwa msimu huu katika ligi ya England ambayo imeshuhudia mabingwa hao kupoteza mechi tatu kati ya tano walizocheza.
Chelsea Jumatano hii watacheza Ligi ya Mabingwa kati yake na Maccabi Tel Aviv huku chelsea wakiacha kwa pointi 11 nyuma ya wapinzani wao Manchester City.
chanzo-mirror.co.uk-http://www.mirror.co.uk/sport/football/news/jose-mourinho-erupts-chelsea-press-6446132
Labels
MICHEZO
Post A Comment
Hakuna maoni :