technology

ALICHOAMUA MSICHANA huyu wa ndani.....................


Matukio ya wasichana wa ndani kutesa watoto wa mabosi wao yamekuwa yakiteka headlines kila wakati..hii nyingine imetokea Kenya ambapo binti wa ndani amefunguliwa mashtaka baada ya kuamua kutumia mkojo kupikia chakula cha familia.
Mtandao wa Modern Kenya Corps umeripoti kuwa msichana huyo alikamatwa baada ya bosi wake kutegesha camera ndani ya nyumba yake baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa amekua akiwatesa watoto wake.
Katika kamera hiyo ilionyesha msichana huyo akikojoa ndani ya poti lililokua na chakula ambalo alitenga kwa ajili ya chakula cha familia.
Baada ya kuhojiwa na polisi msichana huyo alisema ameamua kufanya hivyo ili kulipiza kisasa kwa bosi wake ambaye amedai alikua akimtesa kila mara.
chanzo-  http://millardayo.com

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :