WHO yawaenzi wahudumu wa afya kwenye Siku ya Kibinadamu
Katika mchakato wa kuwaenzi wahudumu wa afya, WHO itazindua kampeni kwenye intaneti ya kutambua juhudi za madaktari, wauguzi na wahudumu wengine, na kukumbusha nchi wanachama na pande kinzani katika mizozo kutimiza wajibu wao wa kuwalinda wahudumu wa afya na mfumo mzima wa huduma za afya.
Kampeni hiyo inalenga kumulika hatari zinazowakabili wahudumu wa afya na haja ya kuongeza juhudi za kuwalina.http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/2015/08/who-yawaenzi-wahudumu-wa-afya-kwenye-siku-ya-kibinadamu/#.VdF30OLfrox
Post A Comment
Hakuna maoni :