Watu kadhaa wa wajeruhiwa na wa wili mwahofiwa kufa baada ya kutokea mlipuko Norwich
"Tulipofika moshi ulikuwa ulikua unatoka kutoka katika jengo kubwa, wafanyakazi wetu waliingia ndani na kuanza kuuzima moto huo na kuokoa baadhi ya ,mali ,lakini kwa bahati mbaya watu wawili walikufa katika eneo la tukio.
" Tuna uchunguzi wa pamoja na polisi ambao unaendelea na ni muhimu sisi sasa kutafuta sababu ya mlipuko na kuzuia jambo kama hili kutotokea tena'
(Chanzo mirror.co.uk) http://www.mirror.co.uk/news/uk-news/norfolk-explosion-live-updates-after-6057065
Post A Comment
Hakuna maoni :