Vita kali ya ubunge CCM, Chadema
Hadi jana, ambayo ilikuwa ni siku ya mwisho kwa vyama hivyo kuchukua na kurejesha fomu, jambo moja lilijidhihirisha katika baadhi ya majimbo kwa upande wa CCM; baadhi ya majina makubwa katika siasa za ubunge yanachuana hivyo kufanya mchakato wa kumpata mteule mmoja kuwa mgumu.http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Vita-kali-ya-ubunge-CCM--Chadema/-/1597296/2799350/-/121t3xf/-/index.html
Post A Comment
Hakuna maoni :