technology

Je! unajua ya kwamba Bastian Schweinsteiger amekua Mjerumani wa kwanza kucheza Manchester United

Bastian Schweinsteiger is honoured to become the first German to play for Manchester United
Bastian Schweinsteiger ajisikia fahari kwa kuwa Mjerumani wa kwanza kucheza  Manchester United na anaamini kuwa atafanya kazi kubwa na nzuri .

Mjerumani huyo alichaza katika kikosi kilicho beba kombe la dunia alijiunga Red Devils kwa  £ 15million

Schweinsteiger amekiambia MUTV: 'Ni heshima kubwa. Mimi nilikuwa utani na Wayne [Rooney] kuhusu suala hilo kabla, lakini ni heshima kubwa kwa kuwa mchezaji wa   kwanza wa Ujerumani kucheza man united

The World Cup winner joiend the Red Devils in a £15million move from Bundeslia champions Bayern Munich(chanzo Daily mail.co.uk)
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :