technology

Hamas yaendeleza mashambulizi zi ya Israel

Brigedi ya Izzuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesambaza mkanda wa video unaoonyesha namna kombora la wanamapambano hao lilivyopiga moja kwa moja kifaru cha kisasa cha utawala wa Kizayuni wa Israel aina ya Merkava na kukisambaratisha kabisa.
Ingia hapa chini kungalia mkanda huo wa video
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :