MOURINHO SASA AHAHA-KIMEMCHAKUKA
Baada ya kuvurunda zaidi ya mechi 5 Kocha wa chelsea Jose Mourinho ameripotiwa kuwa kwa sasa anawahitaji Gareth Bale and Raheem Sterling kujiunga na kikosi cha Blues kwa msimu huu,ili kuinusuru timu hiyo.
Labels
MICHEZO
Post A Comment
Hakuna maoni :