Rapa T.I aomba msamaha kwa kauli yake kuhusu kutompigia kura rais mwanamke.
Rapa T.I ameomba msamaha kwa kauli yake kuhusu kumpigia kura rais
mwanamke. Kupitia interview aliyofanyiwa na dj Whokid, T.I alisema hana
mpango wa kumpigia kura rais mwanamke, wana haraka ya kufanya maamuzi na
kwa kutumia hisia zao zaidi.
Baadae T.I alisema kupitia twitter “I sincerely apologize to everyone I offended.”
Labels
burudani
Post A Comment
Hakuna maoni :