Wiz Khalifa na Snoop Dogg wanaisogeza kwako collabo yao mpya kabisa; ‘No Social Media’

Wiz Khalifa kwenye headlines, baada ya kutoa ‘video teaser’ ya movie yake mpya siku chache zilizopita msanii huyo amerudi kutupa burudani.
Umeshawahi kuwaza collabo ya Wiz Khalifa na Snoop Dogg itakuaje!? Kama wewe ni shabiki mkubwa wa hawa mastaa wawili basi collabo yao mpya haitakiwi kabisa kukupita!
Hapa Wiz Khalifa pembeni Snoop Dogg wimbo unaitwa ‘No Social Media’
chanzo- http://millardayo.com
Labels
burudani
Post A Comment
Hakuna maoni :