technology

Usikose hii!!!!Mpya kutoka kwa T.I imekupita? ‘ Check, Run it’ imenifikia, itazame video yake hapa! (Video)



Baada ya kutengeneza headlines na wimbo wa ‘Private Show’ aliomshirikisha Chris Brown, T.I amerudi na nyingine mpya wiki hii. Wimbo unaitwa ‘Check, Run it’ na kama  video yake bado haijakufikia basi karibu ucheki video hiyo hapa chini.



Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

Hakuna maoni :