Ugiriki: Waziri wa fedha wa Ugiriki, Yanis Varoufakis, ajiuzul
Ugiriki: Waziri wa fedha wa Ugiriki, Yanis Varoufakis, ajiuzulu
Yanis Varoufakis
amejiuzulu licha ya ushindi wa kura ya "hapana" katika kura ya maoni
iliyofanyika Jumapili Jualai 5 nchini Ugiriki. Varoufakis ametetea uamzi
wake wa kujiuzuluakinaini kwamba ni kwa nia ya kuwezesha kupata
makubaliano na wakopeshaji wa nchi ya Ugiriki, akitoa mfano wa
"upendeleo fulani wa baadhi ya wanachama wa eneo la chi zinazotumia
sarafu ya Euro na wafadhili kwa kukosekana (kwake) katika mikutano."
Post A Comment
Hakuna maoni :