Leo tunaagalia matokeo ya Manchester na hatima ya kumnasa mchezaji anaye wika katika timu ya Juventus ya italia Paulo Pogba imeendelea kuota mbawa na kupoteza matumaini ya nyota huyo kutua Manchester Nakatika timu yaLiverpool bado kocha wa timu hiyo Brendan Rodgers anaendelea na mbio za kwanasa wachezaji wa nzuri zaidi ilikuimarisha kikosi chake.
Post A Comment
Hakuna maoni :