Kumbukumbu ya Shambulizi la kigaidi London

Raia wa Uingereza leo wameadhimisha mia kumi tangu shambulio la kigaidi katika kituo kimoja cha treni.
Watu 52 waliuawa katika shambulizi hilo lililotekelezwa na kundi la waislamu wenye msimamo mkali.Maafisa wa uokozi na familia ya wahasiriwa walihudhuria misa maalum katika kanisa la mtakatifu Paulo mjini London.

Mabomu manne yalilipuka, wakati wa shambulio hilo, matatu yakiwa yametegwa ndani ya treni inayotumia barabara za chini ya ardhi na nyingine kwenye basi moja la abiria.
Wakati wa hafla hiyo Cameron alisema kuwa Uingereza haiwezi kutishwa na Ugaidi.

Bwana Parker amesem akuwa idara yake inafanya kila iwezalo kuwalinda waingereza
Bwana Cameron amesema kuwa mauaji ya waingereza zaidi ya thelathini nchini Tunisia ni kama ukumbusho wa kutisha kuwa ugaidi upo na unaweza kutokea wakati wowote.
Post A Comment
Hakuna maoni :