Chelsea imetambulisha jezi mpya ambazo watazitumia katika msimu mpya wa 2015-16 katika Ligi Kuu ya England ambayo imedhaminiwa na Yokohama Tyres.Chelsea kwa sasa iko katika ziara nchini Marekani,na mabingwa hao wa Uingereza wanakabiliwa na kibarua kizito kutoka katika klabu ya uhispania Fc Bacelona Julai 28, huko Washington marekani.
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3167941/Chelsea-release-new-away-kit-champions-prepare-Premier-League-title-defence-debut-white-strip-against-Barcelona.html
Post A Comment
Hakuna maoni :